USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
Soma shairi lifuatalokishaujibumaswali.1. Mkatanimkatika, harithihatorithiwa Sinaninalolishika, walaninalochukuwa Mlimwengukanipoka, hata tone la muruwa! Mrithininiwanangu? 2. Sinango’ombesinambuzi,sinakondesinabuwa Sinahatamakaazi, mupasayokuyajuwa Sinamazurimakuzi, jinsinilivyoachiwa Mrithininiwanangu? 3. Sinakazisinabazi, ilawingiwashakawa Sinachembeyamajazi, mnonikukamuliwa Nakwa’cheniupagazi, mgumukwenuku’tuwa Mrithininiwanangu? 4. Sinasikuachajina, mkatahatasifiwa Hatanifanye la mana, mnonikulaumiwa Poleniwanangusana, sinakwenu cha kutowa Mrithininiwanangu? 5. Sinaleosinajana, sinakeshokutwaliwa Sinazizisinashina, walatawikuchipuwa Sinawanangu mi sana, la kwacha nakuraduwa Mrithininiwanangu? 6. Sina utu sinahaki, milayangumeuliwa Nyumayanguilidhiki, nambeleimekaliwa N’nawananamikiki, hadin’tapofukiwa Mrithininiwanangu? 7. Sinai la keshokwenu,wenyewekuiongowa Muwanekwanyingi,mbinumwendepasikupuwa Leo siyo, keshoyenu, kamamutajikamuwa Mrithininiwanangu? (Kina cha maishaA.S.Mohammed) MASWALI
MWONGOZO – USHAIRI
MWONGOZO – USHAIRI a) Hali yamzungumzaji. (al 4) - maisha yenye umaskini mkubwa. - maisha yasiyokuwa na matumaini. - maishayaliyokosathamani. - maisha yenye kusikitisha. b) Dhamira kuu ya mshairi (al 2) - kuwahimiza wanawe maishani ili kuhakikisha maisha mema ya baadaye kwa vile haliyasasaniyakimaskini. c) mzungumziwa – watoto (al 1) nafsineni – mzazi (al 1) d) toniyashairi (al 2) - masikitiko - kutamauka/kukosa matumaini - yakuhuzunisha e) mbinu tatu za lugha zilizotumika. (al 3) - sitiari – mkatanimkatika - Balagha – mrithininiwanangu? - takriri – sina f) Bahariyashairiukizingatia. (al 4) mizani – msuko vina - ukara g) Ubeti wa mwisho – lugha ya nathari. (al 3) mshairi ana matumaini kwamba wanawe wataimarisha maisha yao ya baadaye. Anawashauri wafanye bidii, wakabiliane na matatizo bila hofu.
0 Comments
|
AuthorAtika School Team Archives
June 2024
Categories
All
|
We Would Love to Have You Visit Soon! |
Hours24 HR Service
|
Telephone0728 450425
|
|
8-4-4 materialsLevels
Subjects
|
cbc materialsE.C.D.E
Lower Primary
Upper Primary
Lower Secondary
Upper Secondary
|
teacher support
Other Blogs
|