USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
Soma shairi hili kisha ujibu maswali:Jukwaninaingia, hukuhapapasokota, Kwauchunguninalia, hiitumbonitaikata, Msibamejiletea, nimekilakisotakata, We tumbonitakupani, uweumetosheka? Wazeehatavijana,woteumewasubua, Hurumanaohauna, heshimakawakosea, UkambaninaSagana, hatambwawararua, We tumbonitakupani, uweumetosheka? Wahasibuofisini,kibwebwemejifunga, Miakamingivitabuni, iliwasikoseunga, Nadhariwanadhamini, hesabuwanazirenga, We tumbonitakupani, uweumetosheka? Wapenziwakiholela, piawanakuogopa, Baadayaokulala, wanawaowanatupa, Wakihitajichakula, wanachokoramapipa, We tumbonitakupani, uweumetosheka? Wafugaji hatanao, kamadawawakwamini, Hawajalijiranio, wamesusiaamani, Wanaibang'ombewao, nakuzua kisirani, We tumbo nitakupani, uweu metosheka? Nayomizozoyamaji, kaonekanakwamara, Hiyonayo ni dibaji, sababusioharara, Njaa wahepe wenyeji, huondiomkarara, Wetu mboni takupani, uweumetosheka? Ningeweza kukuuza, ingekuwa siku njema, Tena kwa bei ya meza, sokoni nimesimama, Wala tena singewaza, kuhusu wali na sima, We tumbo nitakupani, uwe umetosheka? Hatima umefikika, naenda zangu nikale, Mate yanidondoka, kwamnukiowa wale, Naomba kwenda kukaa, wala sioni kalale, We tumboni takupani, uw eumetosheka? Maswali (i) Lipe anwani mwafaka shairi hili. (alama 2) (ii) Shairi hili ni la aina gani? Toa sababu. (alama 2) (iii) Eleza umbo la shairi hili. (alama 4) (iv) Andika ubeti wane kwa lugha nathari. (alama 4) (v) Thibitisha kuwepo kwa uhuru wa kishairi. (alama 2) (vi) Taja madhila anayoelezea mtunzi wa shairi hili yaletwayo n atumbo. (alama 4) (vii) Elezea maana ya maneno yafuatayo. (alama 2) (a) Dibaji (b) Harara MWONGOZO WA KUSAHIHISHA
8.ushairi (i) Tumbo lisilotosheka/matatizo ya tumbo (1 x 2) (ii) Tarbia – mishororo mine 1 – Kutaja (2) 1 – Kueleza (iii) umbo Mishororo mine katika kila ubeti Vina vya kati ni, nga Vipande viwili katika kila mshororo– ukwapi na utao Kibwagizo-we tumbo nitakupani,uwe umetosheka ? Mizani kumi na sita katika mshororo– ukwapi (8) utao (8) (4 x 1) (iv) Lugha nathari Wapendanao mapenzi yasiyo na dhati wanakuogopa. Wapatao mimba, watoto wao hawajali. Watoto watakapo chakula huwa wanatafuta mapipani. Tumbo nikupe nini ili utosheke? (4×1) (v) uhuru wa mshairi. Inkisari mf. We – wewe nitakupani Kuboronga sarufi mf.Wafugaji hata nao – Hata nao wafugaji. Tabdila mf.Umewasubua – umewasumbua. Mazida mf. Mnukio – mnuko (2 x 1) (vi) Kukcsa heshima – hata mbwa wararua. Ufisadi – hesabu wanazirenga. Kutowajibikia wana – wanachokora mapipa. Wizi – wa ng’ombe. Mizozo/kutoelewana – mradi waliepe njaa. (4 x 1) (vii)Dibaji – Thibitisha/shalali. Harara – hasira/hamaki (2 x 1)
0 Comments
|
AuthorAtika School Team Archives
June 2024
Categories
All
|
We Would Love to Have You Visit Soon! |
Hours24 HR Service
|
Telephone0728 450425
|
|
8-4-4 materialsLevels
Subjects
|
cbc materialsE.C.D.E
Lower Primary
Upper Primary
Lower Secondary
Upper Secondary
|
teacher support
Other Blogs
|