Maswali na Majibu KCSE Kiswahili
Ufahamu | Ufupisho | Isimu Jamii | Insha | Utumizi wa Lugha
MATUMIZI YA LUGHA(a) Pigia mstari iliko shadda mara mbili kwenye neno hili ili kuleta maana zake mbili tofauti. Eleza maana hizo. (i) Ala …………………………..…… (ii) Ala (alama 2) ……………..…… (b) Unda kitenzi an nomino kutokana na nomino an kitenzi ulichopewa kwa kufuata mfano uliopewa. (c) Andika kinyume cha sentensi ifuatayo ukizingatia maneno yaliyopigiwa mstari. Zilizala ilipotokea wanafunzi walitulia na kuanza kucheka. (alama 1) ..……………………………………………………………………………… (d) Kamilisha jedwali kwa kauli ifaayo. (alama 4 1/2) (e) Tambua na uainishe vitenzi katika sentensi ifuatayo. (alama 2) Kuzaa si kazi, kazi ni kuvyeleza. ......................................................... (f) Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia vielelezo vya matawi. (alama 4) Wengi wataitwa lakini wachache watateuliwa .................................................................. (g) Onyesha hali katika sentensi zifuatazo (alama 1) 1. Mwizi akamatwa mtaani Kondele. ............................................................... 2. Nyumba hufagiliwa asubuhi. ................................................................... (h) Kanusha sentensi ifuatayo. (alama 1) Nimemwona Fuchingo na paka wake. ........................................................................ (i) Tunga sentensi yenye kuhusishi cha ‘A’-Unganifu katika ngeli ya I-I, wingi. (alama 1) ............................................................... (j) Andika katika wingi (alama 1) Zigo la kuliwa halilemei .................................................................... (k) Tambua na ueleze aina ya yambwa katika sentensi zifuatazo (i) Mtoto alipigwa vibaya sana na mamake (alama 2) ........................................................................... (ii) Osama alipigwa risasi na wanajeshi (alama 2) ............................................................ (l) Tumia vitate vifuatavyo kutungia sentensi moja moja ili kutofautisha maana zake. 1. Pango (alama 1) .................................................. 2. Bango (alama 1) ............................................................... (m) Onyesha silabi funge kwenye maneno yafuatayo 1. Baiskeli (alama 1) ............................................................................ 2. Muhtasari (alama 1) .............................................. (n) Taja na utofautishe vikwamizo vya meno. (alama 2) .......................................................................................... (o) Geuza katika usemi wa taarifa “Sitatoka hapa leo bila kunilipa. Uliniambiajana nije leo utanilipa. Mbona tena unataka nije kesho?” Mwajiriwa aliteta. (alama 4) ............................................... (p) Onyesha kishazi huru na tegemezi katika sentensi ifuatayo. (alama 2) Mateka wote waliokamatwa leo watafikishwa mahakamani. ................................................................... (q) Tunga sentensi sahihi ukitumia viunganishi vifuatavyo ipasavyo. (alama 2) (i) Lau ............................................ (ii) Waama ................................................. (r) Pambanua viambishi awali, mzizi na viambishi tamati katika kitenzi. (alama 2) Alituwiaje? ............................................ MAJIBU YA MATUMIZI YA LUGHA
3. MAJIBU YA MATUMIZI YA LUGHA
(a) (i) Ala I Ala I Ala - Tamko la mshangao (ii) Ala / Ala / Ala - Mfhko Wa kubeba ala (b) (i) Kuhukumu / hukumu (ii) Riziki (iii) Husudu / Kuhusudu (iv) Rithi / kurithi (c) Zilizala ilipotokea wanafunzi walibabaika na kuanza kulia. (d) (i) Wangapi? wepi / wapi? gani? (ii) Wangapi? wapi / wepi? gani? (iii) Ngapi? zipi? gani? (e) - Kuzaa - kitenzi jina - Si - t/kitenzi kishirikishi kipungufu - Kuvyeleza - kitenzi jina - Ni - kishirikishi kipundufu / t (g) (i) Hali ya - ka / wakati usiodhihirika / wowote. (ii) Hali ya - hu mazoea (h) Sijamwona Fuchingo wala paka wake. (i) Chumvi, sukari, mvua, chai, njia, asali (j) Mjizigo ya kuliwa hayalemei. (k) (i) Mtoto — Yambwa kitondo (ii) Osama — (a) Yambwa kitondo (b) Risasi - Yambwa ala (1) Pango - Tundu, shimo Bango - Maandishi ya kutangaza, tangazo linalobebwa na waandamanaji, tangazo la kampem (m) (i) Baiskeli - bais (ii) Mukhtasati - muh (n) v - ghuna f - sighuna (o) Mwajiriwa aliteta kuwalkwamba asingetoka hapo siku hiyo bila ya kulipwa kwa sababu aliambiwa siku iliyotangulia kuwa aende hapo siku hiyo alipwe I angelipwa. Alitaka kujua sababu ya kumtaka aende siku iliyofuata I keshoye. (p) Tegemezi - Mateka wote waliokamatwa leo Hutu - Watafikishwa mahakamani (q) (i) Kama - Neno lao sharti liwe mwanzoni mwa sentensi (ii) Kwa kweli (r) A — Kiima / mtendo / Nafsi ya 3 — umoja ii — wakati wakati uliopita njeo, tu — Yamwa / watendendewa Nafsi ya — wingi w — mzizi i— kauli kinyambulishi a — kiishio kimalizio je — kiulizi.
1 Comment
|
Categories
All
Archives
July 2024
|
We Would Love to Have You Visit Soon! |
Hours24 HR Service
|
Telephone0728 450425
|
|
8-4-4 materialsLevels
Subjects
|
cbc materialsE.C.D.E
Lower Primary
Upper Primary
Lower Secondary
Upper Secondary
|
teacher support
Other Blogs
|