Maswali na Majibu KCSE Kiswahili
Ufahamu | Ufupisho | Isimu Jamii | Insha | Utumizi wa Lugha
1. Viona Nyuma/Mbinu rejeshi
Mwandishi ameyasawiri matukio yaliyotokea katika mandhari mengine, kwa mfano:
2. Kejeli
Mbinu hii imetumiwa kubainisha zaidi dharau waliyo nayo. Wazungu weusi dhidi ya Waafrika, kejeli zilizotumiwa ni kama vile:
3. Taswira
Mbinu hii inahusu picha inayoundwa katika fikira za msomaji baada ya kuzingatia kauli au kisa chochote kinachowasilishwa katika hadithi hii.
4. Taashira
a) Theluji
Theluji iliyopatikana ughaibuni ni ishara ya ukosefu wa utu ambao umesakini kote Marekani; si miongoni mwa watu weupe tu bali hata wamarekani weusi. b) Weusi na weupe Anaporejea dereva, dhana ya weusi wa moyo wake inarejelea ukosefu wa utu. Katika miktadha mingine, rangi nyeusi pamoha na damu nyeusi dhidi ya Waafrika, mizizi kule marekani, weupe ni ishara ya ubaguzi. 5. Majazi
Jina Fikirini limetokana na abia ya mhusika huyu ya kuwaza kila wakati. Yeye hujipata katika hali mbaya kila wakati inayomlazimu kuwaza sana.
6. Kinaya
Ni kinaya kuwa Bob na Fiona wanadhaliisha Fikirini na ilhali wao ni weusi kama yeye.
Ni kinaya kuwa mama mzungu na polisi wanamsumbua Fikirini eti kwa kukosa kufunga zipu. Wanafaa wamwonyeshe ukarimu na utu kwani yeye ni mgeni.
0 Comments
Leave a Reply. |
Categories
All
Archives
July 2024
|
We Would Love to Have You Visit Soon! |
Hours24 HR Service
|
Telephone0728 450425
|
|
8-4-4 materialsLevels
Subjects
|
cbc materialsE.C.D.E
Lower Primary
Upper Primary
Lower Secondary
Upper Secondary
|
teacher support
Other Blogs
|