Maswali na Majibu KCSE Kiswahili
Ufahamu | Ufupisho | Isimu Jamii | Insha | Utumizi wa Lugha
mazungumzo kati ya Mwalimu mkuu na mzazi1. Andika mazungumzo kati ya Mwalimu mkuu na mzazi kuhusu chanzo, matumizi na athari za dawa za kulevya miongoni mwa vijana wengi wa siku hizi. 2. Hakuna kizuri kisichokosa ila. Thibitisha methali. 3. Fafanua hatua zozote zinazoweza kuchukuliwa ili kukabiliana na janga la umaskini hapa nchini. 4. Nilikuwa nimelala fo!fo!fo!nilipogutushwa na kishindo kikuu kutoka upande wa mjini…. 1. (a) Chanzo (i)Mshawasha kutoka vijana wenzao (ii)Kukosa kazi/ajira (iii)Vyombo vya habari (iv)Kuiga wazazi na wakubwa wao (v)Ukosefu wa maelezo yanayofaa kuhusu athari za dawa hizi Matumizi
Athari
2. Mwanafunzi asimuliw kisa kinachoafikiana na methali hii k.m. mtu aliyekuwa mwema sana lakini hatimaye akapatikana na dosari iliyomfedhehesha sana. Aidha mwanafunzi anaweza kusimulia visa mbalimbali vinavyothibitisha methali hii. 3. Hatua zifaazo ni ;
4. Mwanafunzi aendeleze dondoo hili (mdokezo) kusimulia kisa kinachoafikiana na mdokezo huu.
0 Comments
Leave a Reply. |
Categories
All
Archives
July 2024
|
We Would Love to Have You Visit Soon! |
Hours24 HR Service
|
Telephone0728 450425
|
|
8-4-4 materialsLevels
Subjects
|
cbc materialsE.C.D.E
Lower Primary
Upper Primary
Lower Secondary
Upper Secondary
|
teacher support
Other Blogs
|