Maswali na Majibu KCSE Kiswahili
Ufahamu | Ufupisho | Isimu Jamii | Insha | Utumizi wa Lugha
Maswali 1. Umechanguliwa kuwa katibu wa Chama Cha Kiswahili shuleni. Andaa kumbukumbu za mkutano uliofanyika hivi majuzi ili kupanga mikakati ya kukiendeleza Kiswahili nchini. 2. Fafanua jinsi teknolojia ya kisasa inavyoathiri maisha yako. 3. Ngozi ivute ingali mbichi. 4. Andika insha itakayoishia kwa maneno haya…nilisimama nikaangalia nyuma, machozi yakanitoka njia mbili mbili nilipokumbuka wosia wa walimu, wazazi na wenzangu. MWONGOZO WA KUSAHIHISHA 102/1 2010
iii)orodha ya waalikwa ikiwa wapo iv)orodha ya waliotuka udhuru v)orodha ya wasiohudhuria na hawakutuma udhuru vi)Ajenda Maudhui ya kumbukumbu -kuwe na warsha mbalimbali za Kiswahili -vyombo ya habari -masoma zaidi yatumie Kiswahili katika mitaala -vipindi vya Kiswahili shulni viwe sawa na vya Kiingereza katika ratiba -sera kali dhidi ya wanaovuruga matumizi ya Kiswahili -kukipa Kiswahili hadhi muhumu katika shughuli za kiserikali mtahiniwa afikishe hoja tano
Hoja chanya -ajira kwa watu -kuboresha kazi -Kurahisisha mambo -kuunganisha/kutenganisha watu kutoka sehemu mbali mbali -kuongeza mapato -imeboresha utafiti Hoja hasi -kuvunjika kwa maadili -kuongezeka kwa wizi -watu kupoteza wakati – uraibu -kupanda kwa gharama za maisha -Uharibifu wa mazingira (mtahiniwa azifikishe hoja tano) ( Mtahiniwa asipojihusisha aondolewe al. 2) (- 2 H)
-usipoziba ufa utajenga ukuta Maana – ni vizuri kulainisha/kurekebisha mambo kabla hayajaharibika Matumizi – hutumika kuonya, kufunza maadili, kutoa nasaha kwa watu Kisa. Kulenge mtu aliyekosa kurekebisha/lainisha mambo kiasi cha kuharibika. Km kukosa kumwadhibu mtoto halafu mtoto anaharibika baadaye. Mtahiniwa aonyeshe pande zote mbili.
Mtahiniwa aangazie sehemu hizi tatu a)aonyeshe wosia aliopewa mtu fulani b)kupuuza / kutozingatia wosio huo c)kujuta baadaye / majuto NB: mtahiniwa akiongeza maneno yake atakuwa amejitungia swali na apewe D-(02)
0 Comments
Leave a Reply. |
Categories
All
Archives
July 2024
|
We Would Love to Have You Visit Soon! |
Hours24 HR Service
|
Telephone0728 450425
|
|
8-4-4 materialsLevels
Subjects
|
cbc materialsE.C.D.E
Lower Primary
Upper Primary
Lower Secondary
Upper Secondary
|
teacher support
Other Blogs
|