Maswali na Majibu KCSE Kiswahili
Ufahamu | Ufupisho | Isimu Jamii | Insha | Utumizi wa Lugha
ISIMU JAMII1. ISIMU JAMII Eleza huku ukitoa mifano mwafaka sifa tano za sajili ya bungeni. ` (alama 10) ………………………………………………………………………………………………………..……………………………………………………………………………………………………….. 1. ISIMU JAMII i. Lugha huwa na sifa za kisheria ii. Aghalabu huwa na sentensi ndefu iii. Lugha huwa sanifu na ya adabu iv. Matumizi ya msamiati maalumu v. Kuchang’anya na kubadilisha msimbo vi. Sifa zinazodhilika k.v unyenyekevu na heshima m.f Bwana spika,mheshimiwa vii. Urudiaji / uradidi wa baadhi ya maneno viii. Kukatizana usemi ix. Huwa na mtindo maalumu x. Matumizi ya ishara xi. Inaweza kutafsiriwa -kutaja 5x1=5, -mifano 5x1=5 jumla 10
0 Comments
Leave a Reply. |
Categories
All
Archives
July 2024
|
We Would Love to Have You Visit Soon! |
Hours24 HR Service
|
Telephone0728 450425
|
|
8-4-4 materialsLevels
Subjects
|
cbc materialsE.C.D.E
Lower Primary
Upper Primary
Lower Secondary
Upper Secondary
|
teacher support
Other Blogs
|