Maswali na Majibu KCSE Kiswahili
Ufahamu | Ufupisho | Isimu Jamii | Insha | Utumizi wa Lugha
1. Insha ya lazima (Alama 20) Kuzorota kwa nidhamu ya wanafunzi katika shule ya upili ya Mramba, kumemlazimu mkuu wa wilaya hiyo ya Mramba kuteua kamati ili kuchunguza kuhusu utovu wa nidhamu. Wewe ulikuwa mmoja wa kamati hii na ulipewa jukumu la kuandika ripoti ya matokeo. Andika ripoti hiyo. 2. Mpango wa elimu bila malipo nchini Kenya umefaulu ingawa umekumbwa na matatizo. Fafanua. (Alama 20) 3. Usipoziba ufa utajenga ukuta. (Alama 20) 4. Andika insha itakayomalizikia kwa:- (Alama 20) ……..nilipojitazama katika kioo, nilijidharau kwa aibu niliyojipa. Niliapa kutorudia kitendo hicho maishani mwangu. MWONGOZO WA KUSAHIHISHA 1. Lazima mtindo wa uandishi wa Ripoti uzingatiwe: i) Kichwa (mada) ii) Utangulizi iii) Wanakamati walioshiriki iv) Matokeo ya udadisi:- Kila moja wapo wa mfano ufafanuliwe na watahiniwa. Mfano:-
Mfano:-
viii) Sahihi Swali la 2
Matatizo
Swali la 3 Mtahiniwa aelewe na kutafsiri maana ya methali. Aandike kisa kitakachokubaliana na methali. Maudhui Methali inamaanisha kuwa jambo ndogo likipuuzwa hatimaye huketa shida. Kisa kieleze mapuuza na hatimaye madhara yanayoletwa na mapuuza haya. Swali la 4 Mwanafunzi aeleze kisa / matukio / matendo aliyotenda yaliyomletea aibu Mfano – Ulevi wa kupindukia, vita kati ya walevi, masimango katika kijiji / mji n.k
Muhimu i) Insha isiyotimiza maneno 400 iondolewe alama 2 (urefu) baada ya kumtia kiwango chake. ii) Insha isiyozingatia sura kulingana na mada aondolewa alama 4s (sura)
0 Comments
Leave a Reply. |
Categories
All
Archives
July 2024
|
We Would Love to Have You Visit Soon! |
Hours24 HR Service
|
Telephone0728 450425
|
|
8-4-4 materialsLevels
Subjects
|
cbc materialsE.C.D.E
Lower Primary
Upper Primary
Lower Secondary
Upper Secondary
|
teacher support
Other Blogs
|