Maswali na Majibu KCSE Kiswahili
Ufahamu | Ufupisho | Isimu Jamii | Insha | Utumizi wa Lugha
​Soma maagizo yafuatayo kisha ujibu maswali
​(Alfajiri kuu. Vijana wanazunguka kinu, vifua wazi. Nyusoni wamepakwa masizi na aina ya tope jeupe. Wako katikati yam situ. Mzee Jando ameketi kwenye namna yam to wa nyasi.)
Mzee Jando: (Akiwahiza) haraka! Ongezeni kasi! Zunguka! Haya imbeni, barobaro!
Vijana: jua lachomoza! ​​Muda umefika wa mbegu kuatika! Ichipuke na kuzalisha matunda! Ni leo, ni sasa!
Mzee Jando: haya ketini sasa
Vijana: (Vijana wanaketi katika mistari huku wameshikana mikono mabegani) Mzee Jando: tulisema mume nini? Vijana: (kwa pamoja na kwa sauti ya dhati) Mume ni kazi Sio ubazazi Ale jasho lake
​Mzee Jando: Sawa kabisa, je mume ni nani?
Vijana: Ni mlinzi wa jamii Ni mfano mwema wa jitihada Apambane na adui Atende wajibu na maadili
​Mzee Jando: Jambo linalovunja umoja!
Vijana: Likumbatiwe na kufunzwa hata watoto wachanga! Mzee Jando: Haya, semeni wenyewe leo! Vijana: Leo tumkomaa, si watoto tena Tumetimia barobaro kamili Sisi ni stadi Sisi ni wapevu! Tayari kwa majukumu ya kujenga jamii Sisi ni tegemeo la umma Sisi ndio chimbuko la wema Maadili na upendo
Mzee Jando: Nakubali mko tayari. Haya tuendelee na ada zetu zingine. Kijembe kukidhihaki!
Vijana: (Wanasimama kijasiri na kurindimisha sauti) Tuko tayari kuingia utuuzima! maswali
majibu
0 Comments
Leave a Reply. |
Categories
All
Archives
July 2024
|
We Would Love to Have You Visit Soon! |
Hours24 HR Service
|
Telephone0728 450425
|
|
8-4-4 materialsLevels
Subjects
|
cbc materialsE.C.D.E
Lower Primary
Upper Primary
Lower Secondary
Upper Secondary
|
teacher support
Other Blogs
|